DIRA: TPC inataka kuona jamii yenye kutenda haki na yenye maendeleo endelevu.
DHAMIRA: Kuwesha jamii kujua haki zao, kupambana na vikwazo vya maendeleo na kushiriki
katika shughuli za maendeleo endelevu.
LENGO KUU: Kufanya ushawishi na utetezi juu ya haki za binadamu,unyanyasaji
wa kijinsia,ukatili dhidi ya wanawake na watoto, haki za wanawake kumiliki mali
na kuelimisha jamii juu ya sheria mbalimbali.
Maoni (0)