kuhakikisha watu wenye ulemavu wa macho wanaishi bila kunyanyaswa na wanapata haki za msingi na kuwajibika kufanya kazi za mikono kama watu wengine.kuhakikisha watuwenye ulemavu wa macho wenye umri wakwenda shule wanapelekwa shule.kutoa mafunzo ya miradi wanayoweza kuifanya wasioona.
Mabadiliko Mapya
Tanzania National Institute for the Blind - IRINGA BRANCH imeongeza Habari.
shirika la tnib linapenda kuwajulisha kuwa linatoa haki na maendeleo kwa wasioona mkoani iringa
4 Oktoba, 2011
Tanzania National Institute for the Blind - IRINGA BRANCH imejiunga na Envaya.
4 Oktoba, 2011
Sekta
Haki za binadamu, Nyingine (tunasimamia haki za walemavu)
Sehemu
iringa manispaa, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu