Kuwaungansha wasioona wote nchini.
Kuhimiza elimu mafunzo na kazi kwa wasioona.
Kuamasha ari ya uma kuhusu uzuiaji kutoona.
Kuhimiza mashirika mengine yatoayo huduma za ustawi wa jamii yaliyopo nchini na yale ya ulimwengu ya weza kusaidia upanuzi wa huduma kwa wasioona.
Mabadiliko Mapya
TANZANIA LEAGUE OF THE BLIND MOSHI BRANCH imejiunga na Envaya.
20 Juni, 2011
Sekta
Sehemu
kata ya mfumuni moshi manispaa, Kilimanjaro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu