MWALIMU OMARY MOHAMED AKIMSAIDIA MWENYEKITI WA TEMOA KUGAWA VIBURUDISHO (BABLISH) KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KABLA HAWAJAPOKEA ZAWADI YA DAFTARI
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI SUMAYE WAKIMSIKILIZA MWENYEKITI WA TEMOA
MIONGONI MWA MAMBO YALIYOJILI NA KUFANYWA NA TEMOA MWAKA 2015
Katika picha mwenyekiti wa shiriki akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika shule ya sekondari sumaye wilayani chato
HAPPY NEW YEAR EVERY BODY
GOD BLESS YOU ALL EDUCATORS FOR KEEPING THE WORLD A BETTER PLACE TO LIVE AND COUNT MORE YEARS
A TENTATIVE PLAN OF AN ORGANIZATION IN THE YEAR 2015/2016-CHATO DISTRICT COUNCIL
1. CAPACITY BUILDING PROJECTS:
- KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTATUA CHANGAMOTO ZA ELIMU VIJIJINI
- KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SHIRIKA KUFUATILIA MAENDELEO YA ELIMU VIJIJINI NA KUJENGA OFISI ZA SHIRIKA.
- KUWAJENGEA UWEZO WANAWAKE NA VIJANA KUPAMBANA NA UMASIKINI (UFUGAJI WA KUKU, SAMAKI NA NYUKI)
2. UTAFITI
- USHIRIKI WA WAZAZI KATIKA MAENDELEO YA ELIMU VIJIJINI
- UFAULU WA WANAFUNZI SEKONDARI
- UTEKELEZWAJI WA MITAALA NA SERA ZA ELIMU KATIKA SHULE ZA VIJIJINI
- UELEWA WA WANAJAMII KUHUSU SERA NA MIPANGO YA SERIKALI JUU YA MAENDELEO YA ELIMU
3. UHAMASISHAJI:
- KUHAMASISHA WANAFUNZI KUSOMA KWA BIDII
- KUHAMASISHA WAZAZI KUZINGATIA UMUHIMU WA ELIMU KATIKA JAMII
- KUENDESHA MASHINDANO YA KIMICHEZO NA KITAALUMA
taarifa ya bodi ya mikopo kuongeza majina awamu ya nne, follow this link: http://www.heslb.go.tz/index.php/application-guidelines/191-awamu-ya-nne-ya-wanafunzi-waliopangiwa-mikopo
We came to conclusion that they are the ten best in form one 2015 at sumaye buziku secondary school. congratulation to them
Recognition creates motivation, just say "i appreciate what you are doing"