Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
MWENYEKITI AKIMTIA MOYO NJILE MWANAFUNZI WA KIKE ANAYEFANYA VIZURI KIDATO CHA KWANZA SUMAYE
Ibitekerezo (0)
MWENYEKITI AKIFUATILIA ORODHA YA MATOKEO YA WANAFUNZI WANAOSTAHILI KUPONGEZWA KWA KUFANTA VIZURI SUMAYE, KUSHOTO NI MWALIMU MWANDAMIZI TAALUMA WA SHULE HIYO
MWL OMARY AKIWAGAWIA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU BIGIJII KUTOKA TEMOA
MWALIMU OMARY AKIWABURUDISHA WATOTO WALIOFANYA VIZURI KWA BIGIJII KUTOKA TEMOA
MAKAMU MKUU WA SHULE AKIHUTUBIA WANAFUNZI SIKU YA KUFUNGA SHULE KABLA YA KUTANGAZA MATOKEO NA KUGAWA ZAWADI KUTOKA TEMOA
WOTE WANA DISTINCTION KIDATO CHA KWANZA....TUNAWATAMBUA NA KUWAZAWADIA
WANAFUNZI HAWA WALIFAULU MTIHANI WA KUFUNGA MWAKA KIDATO CHA KWANZA KWA GPA YA 5.0. TEMOA ILIWATAMBUA NA KUWAZAWADIA