Kwasasa tunafanya workshop ya mafunzo ya ufuasi sahihi wa dawa za kupunguza makali ya VVU na Ukimwi pamoja na lishe.
Workshop hii tunawahusisha wale wanaoishsi na VVU na wale wanao watunza wanao tumia dawa hizo.
tuna mitandao mitatu katika wilaya za Temeke Ilala na Kinodoni. haya mafunzo yanaendeshwa katika wilaya zote hizo tatu.

22 Aprili, 2010