kuunganisha madereva wote Tanzania bila kujali kazi anayofanya au jinsia yake,itikadi au chombo anachoendesha.
Mabadiliko Mapya
Tanzania Drivers Association imeongeza Habari.
Tunaandaa semina kwa madereva wote wa masafa marefu na mafupi nchini Tanzania ambayo itafanyika siku ya jumamosi ya tarehe 5/6/2010 saa tatu na nusu asubuhi katika ukumbi wa nyumbu hall uliopo P T A au viwanja vya mwalimu Nyerere zamani sabasaba kilwa road
10 Mei, 2010
Tanzania Drivers Association imejiunga na Envaya.
10 Mei, 2010
Sekta
Sehemu
MNAZI MMOJA/KAWAWA st, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu