Tunaandaa semina kwa madereva wote wa masafa marefu na mafupi nchini Tanzania ambayo itafanyika siku ya jumamosi ya tarehe 5/6/2010 saa tatu na nusu asubuhi katika ukumbi wa nyumbu hall uliopo P T A au viwanja vya mwalimu Nyerere zamani sabasaba kilwa road
10 Mei, 2010