Shughuli kubwa za TARUCODEFU ni kufanikisha mazingira ya uwezeshwaji yanayo hakikisha kuwa
1.wakulima, wavuvi, pamoja na wafanya biashara wadogo wadogo wanajengewa uwezo hasa katika kuwapatia misaada ya kiufundi pamoja na nyenzo zitakazo saidia ufanisi wa kazi zao.
2.Kuhakikisha kuwa watoto wote walioandikishwa kusoma katika shule za msingi wanapata nafasi hizo na wanahitimu masomo yao na tunawapa kipaumbele wasichana.
3,Vile vile Kuielimisha jamii na kusisitiza umuhimu wa kupambana na kuenea kwa virusi vya ukimwi hasa katika maeneo ya kinga.