Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
on behalf of my team, i would like to thank everybody who in one way or another contributed and participated in this program (Help A Kid), surely, God will come accross with your needs people.thank you....
Mmoja wa vijana anayenufaika na mradi wa (help a kid) mkoani Dodoma; akisalimiana na mratibu mradi baada ya kukabidhiwa zawadi yake
Tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati, kwa wale wote ambao wameguswa na kutoa michango yao kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu na walioko shuleni. MUNGU AWABARIKI SANA, endeleni kutoa ili tuweze kuwafikia watoto wengi...
tumia namba hii kutoa msaada wako +255757333728
Peter, T.S
Mratibu Mradi.
Huruma girls students stretching their hands to the needy children (orphans), learn to give more and receive less so that you may be blessed more by GOD.