Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati, kwa wale wote ambao wameguswa na kutoa michango yao kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu na walioko shuleni. MUNGU AWABARIKI SANA, endeleni kutoa ili tuweze kuwafikia watoto wengi...
tumia namba hii kutoa msaada wako +255757333728
Peter, T.S
Mratibu Mradi.
February 16, 2013