Log in
Service to widows, orphans and the little ones organization

Service to widows, orphans and the little ones organization

Kyela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kufanya shughuli za utetezi, ushawishi na ushauri kwa wajane, wagane, watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu ili waweze kuwa salama na wenye matumaini na furaha kwa kushirikiana na wadau wengine, wanajamii na wataalam mbalimbali waliopo nchini.