Fungua
Service to widows, orphans and the little ones organization

Service to widows, orphans and the little ones organization

Kyela, Tanzania

THE SERVICE TO WIDOWS, ORPHANS AND THE LITTLE ONES ORGNIZATION (SWOLO) ni asasi isiyo ya kiserikali isiyolenga kupata faida inayotoa huduma kwa wazee, watoto yatima, wajane na watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Asasi ilisajiliwa rasmi mwaka 1994 kwa namba ya usajili B4/357765. Asasi ilianzishwa ikiwa na lengo la kuwahudumia na kuwasaidia wazee, watoto yatima, wajane, wagane na watoto walio katika mazingira magumu kwa kutumia rasilimali za asasi zilizopo na misaada ya hali na mali kutoka kwa wahisani wa ndani na nje ya nchi na michango toka kwa wananchi wenye nia njema