Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
wapedwa wote wanaharakati napenda kuwasalimu kokote mlipo na kuwaaarifu uwepo wetu kwenye mtandao sasa. Habari zetu mtazipata kwa mapana zaidi wakati tutakapoweka taarifa zetu zote, tukianzia na usajili wa shirika letu. Tunaomba mtutembelee mkipata nafasi na tunawakaribisha sana morogoro tanzania.