Envaya

sunrise development society

zanzibar, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kuikomboa jamii ya wavuvi na umaskini na kuisaidia serikali kuu kufikisha maendeleo kwa haraka vijijini

Latest Updates
sunrise development society has a new discussion about ajira za utotono.
sudeso: ni changamoto inayowakabili wana jumuia ya sudeso kulingana mazingira yao ya baharini kisiwani. wimbi kubla watoto hukimbilia uvuvi badala ya shule.
June 12, 2011
sunrise development society added a News update.
Habari za kazi wapendwa? – ni jumuiya kimaendeleo sudeso.mimi naulizia tu tokea tujisajili hadi leo hakuna taarifa kutoka kwenu vp? au hatua gani tufanye ili kusukuma gurudumu la maendeleo?
June 12, 2011
sunrise development society created a Team page.
MAKAME JUMA KHAMIS KATIBU – HAJI KHAMIS SHEHA MWENYEKITI – MBOJA KHAMIS JUMA MSHIKA FEDHA – PANDU KOMBO PANDU AFISA MIPANGO +255 777 454 699 – MWADINI HAMAD MWADINI KATIBU MSAIDIZI
May 26, 2011
sunrise development society created a Projects page.
Jumuiya imeshafanya miradi midogomidogo ya uendeshaji na utawala wa jumuiya yakifadhiliwa na: – 1 waziri wa nchi afisi ya rais,utumishi wa umma na utawala bora na mwakilishi wa jimbo la TUMBATU ambae pia ni mlezi wa jumuiya hiyo. – 2) the foundation for civil society ya Dar es salaam mafunzo... Read more
May 26, 2011
sunrise development society created a History page.
Jumuiya ya sunrise development society (SUDESO) iliazishwa disemba 2008 na kupatiwa usajili na mrajisi wa serikali ya mapinduzi zanzibar tarehe 01-12-2009 nambari 776. – jumuiya inawanachama 30, 13 wanawake na 17 wanaume, sambamba na bodi ya wadhamini yenye jumla ya watu wa tano. – jumuiya imeshajitambulisha sehemu... Read more
May 26, 2011
Sectors
Location
zanzibar, Zanzibar North, Tanzania
See nearby organizations