MWALIMU MKUU,
AL-MADRASAT – ISLAH
MELI – NNE
ZANZIBAR
1/5/12.
NDUGU MZAZI WA MWANAFUNZI,
………………………………………….
KUH: KIKAO MUHIMU.
Tafadhali husika na mada hiyo.
Unatakiwa uhudhurie kikao muhimu sana cha wazazi siku ya Jumapili, tarehe 13/5/12 saa 10: 00 laasiri hapa chuoni.
Ni muhimu kufika ili kufanikisha kikao hicho.
Mchango wako wa fikra unahitajika.
SHIME TUFIKE KWA WINGI
AHSANTE.
M/MKUU.
…………………….