Hii ni picha ya wazee baada ya kuvuna pamba kwenye shamba lao la mradi wa pamba waliobuni baada ya uundaji wa mabaraza ya wazee Kata ya Suguti, kijiji cha Wenyere.
8 Juni, 2012
![]() | SAIDIA WAZEE TANZANIATanzania |