Envaya

SAIDIA JAMII KUISHI

Msangamkuu, Tanzania

KUPAMBANA NA KUPUNGUZA UMASKINI KATIKA JAMII KWA KUIWEZESHA JAMII KUTUMIA RASILIMALI ZILIZOPO ILI KUJILETEA MAENDELEA KWA KASI.

Mabadiliko Mapya
SAIDIA JAMII KUISHI ina ujumbe mpya katika mada BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHI.
Hagulwa Msusu: Hivi ukweli upo wapi?hii posho ya wabunge,ni kweli wataacha kupokea? ni kweli itatumika kwa manufaa ya umma?nikweli mjadala huu wa posho ya wabunge utafikia ukingoni kwa muafaka na manufaa ya umma?kazi kwetu wananchi.
18 Juni, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI ina ujumbe mpya katika mada BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHI.
Hagulwa Msusu: hii hoja ya posho kwa wajumbe ukweli upo wapi,watatuachia walalahoi tutumie kwa manufaa ya umma?au ni kutaka kutuyumbisha wananchi kifikra?
18 Juni, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI ina mada mpya kuhusu BAJETI YA TANZANIA NA MATUMAINI YA WANANCHI.
Nashir Pontiya: Hivi ni kweli uchumi wa Tanzania unaendeshwa na Vileo tu? Kwani kila bajeti utaona na kusikia Sigara na Bia juu,inakuwaje hapa?
17 Juni, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI imeongeza MTWARA REGION NGOs NETWORK kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
17 Juni, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI imeongeza MTWARA NON GOVERNMENTAL ORGANIZATION NETWORK kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
17 Juni, 2011
SAIDIA JAMII KUISHI imeongeza The Foundation For Civil Society (FCS) kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
17 Juni, 2011
Sekta
Sehemu
Msangamkuu, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu