FCS Narrative Report
Utangulizi
People Living with HIV/AIDS Nachingwea
PLWHA-NACHINGWEA
UTETEZI WA HAKI ZA WAVIU
FCS/1/11/211
Tarehe: Octoba, 04,2011 hadi Januari,03,2012 | Kipindi cha Robo mwaka: ya kwanza |
Ally Kalowe
S.L.P 209
Nachingwea -Lindi
S.L.P 209
Nachingwea -Lindi
Maelezo ya Mradi
Sera
Mradi umewezesha kutekelezeka kwa sera ya Taifa ya UKIMWI katika kata husika wilayani Nachingwea .
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Lindi | Nachingwea | Namatula | Namatula | |
Nachingwea | Muungano | |||
Nangowe | Tupendane | |||
Ugawaaji | ||||
Mshikamano | ||||
Uliza | ||||
Nangowe | ||||
Matangini | ||||
Liwale |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 1605 | 0 |
Wanaume | 1283 | 0 |
Jumla | 2888 | 0 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
1.0 Uelewa wa WAVIU na kamati za kudhibiti UKIMWI za kata za Namatula, Nachingwea na Nangowe kuhusu sera na mpango wa taifa wa kudhibiti UKUMWI umeongezeka..
2.1 Uelewa wa wanachama na viongozi usumamizi wa fedha umeongezeka
3.0 Ushiriki wa WAVIU katika kupanga mipango ya maendelo ya vijiji umeongezeka.
4.0 Mafanikio na changamoto za utekelezaji shughuli za mradi zimebainishwa

1,1kuendesha mafunzo ya siku 3 kwa WAVIU 25 kutoka kata za Namatula, Nanchingwea na Nangowe ya sera ya UKIMWI na mkakati wa taifa wa kudhibiti UKIMWI
1.2 Kuendesha mafunzo ya siku 3 kwa wajumbe 25 wa kamati za kudhibiti UKIMWI kata za Namatula Nachingwea na Nangowe kuhusu sera, mkakati wa taifa wa kudhibiti UKIMWI na upngaji wa mipango ya kata ya kudhibiti VVU na UKIM WI na uchangishaji wa rasilimali kwa ajili ya kutekelezea mipango.
2.1 Kufanya mafunzo ya siku 3 kwa wanachama wa asasi 15 kuhusu usimamizi wa fedha
3.1 kufanya mikutano ya ushawishi na utetezi katika vijiji vilivyo katika kata lengwa kuhusu umuhimu wa WAVIU katika kupanga mipango ya maedeleo
4. Kufanya ufuatiliaji na tathimini.

1. Mafunzo kuhusu sera na mpango wa taifa wa kudhibiti UKIMWI yamefanyika kwa siku 3 kwa ufanisi katika ukumbi wa TRC Nachingwea mjini, mwezi Oktoba,2011 kwa WAVIU 25.kutoka kata za Namatula, Nachingwea na Nangowe.M ambo yafuatayo yalijadiliwa/shughulikiwa;
Kukuza uelewa wa WAVIU kuhusu malengo na madhumuni ya sera ya taifa ya kudhibiti UKIMWI,Haki za WAVIU kwa mujibu wa sera,maeneo ya kipaumbele yaliyo katika mkakati n wa Taifa wakudhibiti UKIMWI na kupima uhalisia wa jinsi yanavyo tekelezwa katika ngazi mbalimbali za serikali za mitaa.
Mafunzo kuhusu sera, mpango wa tifa wa kudhibiti UKIMWI, upangaji na usimamizi wa mipango ya kata ya VVU/UKIMWI na uchangishaji wa rasilimali kwa ajili ya kutekeleza mipango, yamefanyika kwa ufanisi mwezi Oktoba kwa siku 3 katika ukumbi wa TRC Nachingwea mjini kwa wajumbe 25 wa kamati za kata za UKIMWI za Namatula, Nachingwea na Nangowe.Mambo yallyo shughulikiwa yalikuwa;
kukuza uelewa wa washiriki kuhusu malengo na madhumuni ya sera ya taifa ya UKIMWIna utekezaji wake katika ngazi ya kata,haki za WAVIU kama ilivyobainishwa katika sera na namna ya kuzisimamia,jinsi ya kuandaa mipango shirikishi ya kudhibiti UKIMWI ya kata ili kuwezesha kuwepo kwa mwitikio thabiti wa UKIMWI katika kata lengwa, namna ya kubaini fursa na rasilimali zilizopo katika maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza mipango ya kudhibiti UKIMWI na mbinu za uchangishaji.
Mafunzo ya siku 3 kuhusu usimamizi wa fedha kwa kufuata misingi bora ya usimamizi yamefanyika kwa ufanisi katika ukumbi wa TRC Nachingwea mjini, mwezi Oktoba 2011,kwa wanachama 15 wa asasi.Masuala yaliyo shughulikiwa yalikuwa;
kukuzauelewa wa washiriki kuhusu stadi za usimamizi wa fesha, mambo ya kuzingatiwa wakati wa kuandaa mwongozo wa usimamizi wa fedha wa asasi na pia washiriki waliandaa rasimu ya mwongozo wa fedha.
miutano ya ushawiahi na utetezi kuhusu umuhimu wa kuwashirikisha WAVIU katika mipango ya maenfeleo ya vijiji imefanyika mwezi kwa ufanisi katika vijiji vya Namatula, Muungano, Uliza, Mshikamano, Ugawaji, Matangini, Liwale na Nangowe ambapo wanajamii wapatao walifikiwa
mambo yafuatayo yalishughulikiwa;
kuwaongoza wanajamii kutambua na kujadili haki wa WAVIU, umuhimu wa kuwashirikisha WAVIU katika upangaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo vjijini kama njia mojawapo .
ya kuondosha unyanyapaa, ubaguzi na kujikataa na kuweka mazingira wezeshi ya kupambana na VVU na UKIMWI katika kata lengwa.

Hakuna tofauti
Kiasi cha fedha kilichiotumika kwa kila shughuli;
SHUGHULI KIASI CHA FEDHA KILICHOTUMIKA
1. Kuendesha mafunzo kwa WAVIU 25
kutoka kata za Namatula, Nachingwei
na Nangowe kuhusu sera na mkakati wa
taifa wa kudhibiti UKIMWI kwa siku 3. Tsh. 1303500/=
kudhibiti UKIMWI
2. Kuendesha mafumzo YA siku 3 kwa wajimbe 25
wa kamati za kudhibiti UKIMWI za kata
za Namatula, Nachingwea na Nangowe
kuhusu sera,mkakati wa taifa wa
Kudhibiti UKIMWI na uandaaji wa mipango
ya kata ya kudhibiti UKIMWI. Tsh.473000/=
3.kufanya mafunzo ya usimamizi wa fedha
kwa wanachama 15 wa asasi kwa siku 3. sh.1303500/=
4.kuendesha mikutano ya ushawishi na
utetezi katika vijiji vilivyo katika kata
husika kuhusu umuhimu wa kuwashirikisha
WAVIU katika mipango ya maendeleo ya vijiji Tsh. 473000
ufuatiliaji na tathimini Tsh.372600/=

Mafanikio au Matunda ya Mradi
Kuimarika kwa huduma za kijamii kwa WAVIU, ufahamu wa sera na mpango wa taifa wa kudhibiti UKIMWI na ushiriki wao katika kupanga mipango ya maendeleo ya vijiji
WAVIU 25 katika kata za Namatula,Nachingwea na Nangowe wameanza kupata haki zao za kijamii.
Wanajamii katika kata l engwa wameanza kujitokeza kw hiari kupima V VU na kushirikiana kwa karibu na WAVIU
WAVIU katika kata lengwa wana uekewa wa kutosha kuhsu sera ya taifa kuhusu sera na mkakati wa taifa wa kudhibiti UKIMWI.
WAVIU 25kutoka katika katika kata lengwa wameanza kushirikishwa katika kupanga mipango ya maendeleo vijijini mwao.
Mipango shirikishi ya kudhibiti UKIMWI ya kata za Namatula, Nachingwea na Nangowe na imeshirikisha WAVIU katika kila hatua.
Mwongozo wa matumizi ya fedha wa Asasi (ya PLWHA-Nachingwea )umeandaliwa na umeanza kutumika.
Usimamizi wa fedha wa asasi umeboreka

Jamii imepata mwamko mkubwa kuhusu umuhimu wa kupima VVU mapema,vyanzo vya maambukizi ya VVU vitokanavyo na mila na desturi za kila siku.
Jamii katika kata husika zimehamasika kuunda kamati za kusaidia watoto wanaoihi katika mazaingira hatarishi
Jamii katika kata husika zimehamasika kuunda kamati za kusaidia watoto wanaoihi katika mazaingira hatarishi
Hakuna tofauti
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Hali ya unyanyapaa, ubaguzi na kujikataa miongoni mwa wanjamii inaweza kutoweka kwa kufanya uraghibishi, ushawishi na utetezi. |
Ujengeaji uwezo kamati za kudhibiti UKIMWI za kata kuhusu upangaji mipamngo ya kudhibiti UKIMWI kunawezeaha kuwepo kwa mwitikio thabiti wa UKIMWI wa wilaya. |
Sera ya taifa ya UKIMWI ni nyenzo muhimu sana katika kuwezesha WAVIU kufahamu wajibu wao na haki zao na kunufaika nazo.. |
ushirikishaji WAVIU katika mipango ya mendeleo ninjia nzuri ya kuondosha unyanyapaa katika jamii. |
kuwepo kwa mwongozo wa asasi kunakuza uwazi katika masuala ya mapato na matumizi,uondosha migogoro ya ndanina kukuza hadhi ya asasi kwa wadau. |
kutetekeleza mradi kwa kuzingatia matokeo, mpango kazi na bajeti kumewezesha kutekeleza mradi kwa ufanisi. |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
kuchelewa kwa ruzuku toka FCS | Tulisubiri huku tukifanya mawasiliano ya mara kwa mara na wadau wa mradi hususani wanufaika. |
Baadhi ya watendaji wa vjiji kudai posho kwa ajili ya kushiriki kuandaa mpango wa kudhibiti UKIMWI wa kata. | Tuliwakumbusha kuhusu majukumu yao kama ilivyo anishwa katika mpango wa tifa wa kedhibiti UKIMWI na pia tulitoa taarifa kwa WEOs na MRATIBU wa UKIMWI wa wilaya kwa ajili ya kuwawajibisha zaidi. |
Baadhi ya wadau kutaka kuingilia utekelezaji wa mradi | Tuliwaelekeza kuhusu muundo wa mradi pia tuliwaonesha mkataba baina yetu na FCS |
Hofu ya mara kwa mara ya kukosea mradi | Tulitenga muda wa kutosha wa kufanya mapitio ya mradi kabla ya utekelezaji |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
NANGONET | Tulipata mwezeshaji kutoka kwao |
Kamati za kudhibiti UKIMWI za kata | Zilishiriki kuandaa na kuratibu mikutano mikutano ya jamii ya ushawishi na utetezi |
Mratibu wa UKIMWI wa wilaya ya Nachingwea | Alishiriki katika kuendesha kampeni za unasihi na upimaji katika vijiji vyote vilivyo katika kata lengwa |
Hospitali ya wilaya ya Nachngwea | Ilitoa vipeperushi, majarida ya SI MCHEZO na kondomu kwa ajili ya kuwasambazia wanajamii siku za mikutano |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
Mradi wetu ni wa robo moja tu hata hivyo tumeunda mfumo utakaotuwezesha kukusanya mara kwa mara kwa ajili ya uendelevul wa mradi |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | 20 | 0 |
Wanaume | `13 | 0 | |
Jumla | 33 | 0 | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | 20 | 0 |
Wanaume | 13 | 0 | |
Jumla | 33 | 0 | |
Wazee | Wanawake | 480 | 0 |
Wanaume | 400 | 0 | |
Jumla | 880 | 0 | |
Watoto Yatima | Wanawake | 0 | 0 |
Wanaume | 0 | 0 | |
Jumla | 0 | 0 | |
Watoto | Wanawake | 0 | 0 |
Wanaume | 0 | 0 | |
Jumla | 0 | 0 | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | 25 | 0 |
Wanaume | 27 | 0 | |
Jumla | 52 | 0 | |
Vijana | Wanawake | 1060 | 0 |
Wanaume | 830 | 0 | |
Jumla | 1890 | 0 | |
Watu wengine | Wanawake | 0 | 0 |
Wanaume | 0 | 0 | |
Jumla | 0 | 0 |
(Hakuna jibu)
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Warsha ya kupashana habari | April, 2011 | uchambuzi wa tatizo,matokeo,bao mantiki, bajeti, na jinsi ya kujaza fomu ya maombi ya ruzuku ya FCS kwa kutumia mwongozo wa maombi ya ruzuku. | kujaza fomu ya maombi ya ruzuku na kuituma FCS |
Mafunzo ya usimamizi wa ruzuku(MYG) | Juni, 2011 | usimamizi wa ruzuku, usimamizi wa mradi, kuandaa taarifa ya mradi na ya fedha. | kusaini mkataba na FCS wa kutekeleza mradi wa utetezi wa haki za WAVIU |
Viambatanisho
Maoni (0)