Fungua
PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT

PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT

KAYANGA, Tanzania

LENGO KUU:kuwa na vijana wenye maisha bora,endelevu,wlioelimika na kujua wajibu wao katika jamii na taifa kwa ujumla.

MALENGO MAHUSUSI:

  1. Kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo itakayomilikiwa na vijana
  2. kupunguza/kuzuia mimba zisizotarajiwa,matumizi ya madawa ya kulevya na maambukizi ya ya vvu/ukimwi miongoni mwa vijana
  3. Kufanya ushawishi na utetezi wa maendeleo ya vijana kutokana na sera ya taifa ya vijana
  4. Kwa kuwa kiana upitia hatua ya mtoto,kufanya ushawishi na utetezi wa sera ya haki ya mtoto
  5. kufanya ushawishi na utetezi wa sera ya usawa wa jinsia ili kuharakisha maendeleo ya vijana bila kujali jinsi yao
  6. kufanya ushawishi na utetezi wa sera ya utunzaji wa mazingira miongoni mwa vijana na katika jamii.
  7. Kuboresha uelewa na kufanya ushawishi na utetezi kuhusu utawala bora na haki za binadamu katika jamii ili ijue na wajibu wao kwa taifa
Mabadiliko Mapya
PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT imeongeza Habari.
"SOMA KWA MALENGO" ,HII NI KAULI MBIU TULIYOANZA NAO KWA MWAKA HUU .PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT (PHY):MWAKA JANA 2012 TUMEJITAHIDI KUTEMBELEA SHULE MBALIMBALI HAPA WILAYANI KARAGWE, TULIBAINI WANAFUNZI WENGI WANASOMA BILA KUJIWEKEA MALENGO KWA UPANDE WA "ORDINARY LEVEL"( O`LEVEL ) KWA UPANDE WA A`LEVEL MAMBO... Soma zaidi
1 Februari, 2013
PEACE AND HOPE FOR YOUTH DEVELOPMENT imejiunga na Envaya.
21 Juni, 2012
Sekta
Sehemu
KAYANGA, Kagera, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu