Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Hali ya migomo na maandamano katika nchi yetu.

PHAERA (BUGURUNI, ILALA)
June 8, 2011 at 12:25 PM EAT

Kimsingi, sasa hivi hali ya migomo na maandamano katika nchi hii ni ya kila kukicha ukilinganisha na wakati wa nyuma. Hii ni kwa sababu ya kudolola kwa huduma za jamii kwa jamii na kukiukwa kwa haki za binadamu.


Add New Message

Invite people to participate