Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.
Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi.
2 Novemba, 2012 | SOCIO-ECONOMIC DEVELOPMENT TRUST FUND - Dear all, – Our Organization is looking for volunteers of:- – Skills required:- Social, Environment, HIV/AIDS, Women, Children, Capacity Building, Proposal writing and Human Recources. – Location-Musoma, Mara Tanzania-East Africa – Days to work:- 5days per week. – person to contact... Soma zaidi |
31 Oktoba, 2012 | MAGU CHILD MINISTRY - 1.Walimu wa michezo mbalimbali anahitajika kama ifuatavyo; – a: mwalimu wa mpira wa miguu – b.mwalimu wa mpira wa wavu – c.Mwalimu wa maigizo – Walimu wote hawa wawe na elimu ya michezo husika – 2. Mwalimu wa mazingira-awe na utaalam wa ubunifu katika kupamba mazingira. ... Soma zaidi |
22 Oktoba, 2012 ![]() | ZOE EDUCATION PROMOTION OPPORTUNITY - Position – Teachers 2 positions – – – – Skills required – certificate in teaching from any institution – able to work without any close supervision – ... Soma zaidi |
17 Oktoba, 2012 ![]() | Songea Women and children care organization - What you can do? – Teach children computer skills, – Build underground food storage, – Teach children carpentry skills, ... Soma zaidi |
25 Septemba, 2012 | Furaha Children Centre - Our Centre will be located at Mbuguni road, it is really in the rural area here in Arusha. Right now we are helping these children where there are staying though there are living in unpleasant life.
OUR ROUTINE ACTIVITIES: will be playing with kids, Teaching,
home visiting, counceling. HIV/AIDS education, care the children e.t.c also it wil be... Soma zaidi |
24 Septemba, 2012 | |
22 Septemba, 2012 ![]() | YOUNG WOMEN CHRISTIAN ASSOCIATION - MOSHI BRANCH - Information about volunteering will be posted soon. |
5 Septemba, 2012 | AFROPLAN FOUNDATION - Volunteers are invited to support the children at our school and women projects for poverty alleviation. No special skills required for the works at school. – We work five days a week such as teaching, cooking, garden work, cleanliness, home visits, shopping and other community works. – We thank our volunteers spent... Soma zaidi |
29 Agosti, 2012 | DAKAWA PERFOMING ARTS ORG - DAPEA Inakaribisha wadau wa sanaa na utamaduni wa mwafrika ambao wapo tayarikufanya kazi pamoja na kutoa elimu kwa wanachama wake bila masharti yeyote. – Ikumbukwe kuwa shirika msingi wake ni wa huduma kwa jamii kama yalivyo mashirika mengine ya kirai hivyo suiala la kujitolea kwa manufaa ya jamii yanapewa kipaumbele. ... Soma zaidi |
28 Agosti, 2012 | The Community Support Mision-CSM - *Training people in the Agri-business projects,per weks,or months in Mwanza,Dodoma,and kagera Regions. – *Training for Vocational skills within 3-6.months in Dar Es Salaam. Contact person Mr matungwa Byoma,and Mr Jonathah M.Simon. – *Orphans care training techniques in Dar Es salaam and kagera... Soma zaidi |