Envaya imekurahisishia kushirikiana na asasi zilizopo katika ukanda wa Afrika ya Mashariki.
Chini ni orodha ya asasi zinazohitaji watu wa kujitolea.
Kumbuka: Nafasi zote za kujitolea zinawekwa na kuratibiwa na asasi zilizoorodheshwa hapo chini, na siyo Envaya. Envaya haihusiki na chochote kuhusiana na nafasi hizi za kujitolea zitakazo tangazwa na asasi.
17 Januari, 2014 | TANZANIA PEACE INITIATIVE FOUNDATION - We are in need with volunteers in the following skilled and practitioner, – Communications & Fundraising Officer, financial officer,Office Clerk,Project Manager, Human Resource Manager, Social work official, Legal advicer and psycologist, – they should have at list... Soma zaidi |
31 Desemba, 2013 ![]() | Bright Generation Rwanda - BGR is seeking young volunteers who have passion and are committed to serve their communities. They have to be university graduates with the following requirements: – -ICT literacy – -Leadership skills – -Prior experience working in communities – -Experience in leading dynamic group... Soma zaidi |
30 Desemba, 2013 ![]() | LOOK AFTER THEM INTERNATIONAL(LATI) - This is opportunity for all well wishers around the world to offer your help in the form of cash ,resources,ideas or just encouragement and support. – POSITION AVAILABLE. – Organization Development:We need a person that will assist in our Organization... Soma zaidi |
23 Desemba, 2013 | |
20 Desemba, 2013 ![]() | Msembe Building Construction (MBC) - Msembe Building Construction imeweza kupata mafanikio yafuatayo: – 1. Kuongeza idadi ya wafanyakazi – 2. kuongeza wataalamu waliobobea katika sekta ya ujenzi na uchoraji wa raman – 3. kuwa na ofisi ya kampuni ya kudumu. – 4. kujitangaza ndani na nje ya nchi – 5. kuibua... Soma zaidi |
3 Desemba, 2013 ![]() | MLANDIZI VIJANA SACCOS - PAge is under constraction |
25 Novemba, 2013 ![]() | BAKWATA WILAYA YA GAIRO - Kila siku ya jumamosi ni usafi katika sekta ya afya yaani waislam tunaungana kwa pamoja na kwenda kufanya usafi Hospitalini ikiwa ni pamoja na kuwaona wagonjwa na kuwapa zawadi , kwafariji na kuwaombea dua. – Tunahitaji walimu wakujitolea katika kuwafundisha wanafunzi wa shule mbalimbali ikwa ni pamoja na... Soma zaidi |
7 Novemba, 2013 ![]() | Lindi Non Governmental Organization Network - LINGONET is the non governmental organisation register as a district network dealing with coordiating and build capacity of its CSO s members and society in Lindi district,for the time has 26 members divided in seven clusters of 1. Education 2. Health 3. Environmental 4. Enterpreneurship 5.... Soma zaidi |
20 Oktoba, 2013 | kijitonyama enterprenuers association (UWAMKI) - we need anyone in the following fields/criteria – 1. an educator for community developments. – 2. a donor building /lending the good office of the organisation. – 3.an investor who can invest with us in agriculture, heathy, environments, sanitations, microfinance, minerals, tourism, adult education, clubs,... Soma zaidi |
19 Oktoba, 2013 ![]() |