Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR)

 

S.L.P 430, Njombe, Simu: 0754397178, 0652556833,

Barua pepe: pdprngo@gmail.com, Tovuti: www.envaya.org/pdpr

Mkurugenzi Mtendaji wa PDPR,

No ya Fomu: ...... ..                                                                                Tarehe: …./…./2016

 

FOMU YA AWALI YA MAOMBI YA UWAKALA WA CHAKULA:

Maelezo binafsi na mawasiliano:

Jina: ……………………………………………………Umri ……………….Mkazi wa ……………………………………………………………

Simu: ………………………………………………….barua pepe …………………………………sahihi …………………………

Shughuli zako kuu …………………………………………………………………………………………………………………………………. kiwango cha elimu………………………….....................................................................................

Una uzoefu wa ………………………………………………………………………………….. kwa miaka ………………

Unafuga kuku wangapi ……… toka mwaka gani …………………….. ……………………………………..

Upo katika vikundi cha ufugaji au kiuchumi, …………… vitaje ……………………………………. toka …………

Umeoa au kuolewa …………………………………………………………………

 

Sehemu ya Biashara:

1)      Una uzoefu wa biashara ya chakula cha kuku kwa muda gani? ……….. na wapi …………………..

2)      Ni wakala wa kampuni gani la chakula na umeingia nao mkataba? ……………… …………… ……… wa muda gani ……………….....................................................................................................

3)      Biashara yako imesajiliwa …………………………… kwa jina gani ………………………………………………….. toka mwaka gani ………Inajihushisha na nini …………………………………………………………………………..

4)      Biashara inamilikiwa na nani …………………………………………Ina mtaji wa kiasi gani …………………. Madeni ………………… wadaiwa ………………………………………….

5)      Changamoto za biashara yako ni zipi …………………………………………………………………………………… na umejipangaje kuzitatua …………………………………………………………………………………………………..

6)      Unategemea PDPR ikusaidie nini katika biashara yako ya chakula cha kuku ………………………… ……………………………………………………………………………………………………………………………………………….

7)      Weka annuani ya Biashara na mahari ilipo……………………………………………………………………………..

 

Sehemu ya Chakula cha PDPR.

1)      Unategemea kuuza mfuko wa chakula wa KG 50 shingapi kama utauziwa na PDPR kwa 29000 ukiwa Njombe …………….. na Tsh: 34000 ukiwa dar ………………….

2)      Wateja walengwa wako ni nani …………………………………………………………………………………………

3)      Kwa mwezi unauwezo wa kuuza mifuko mingapi ………………………………………………………………

4)      Aina ipi ya chakula ina uhitaji mkubwa hapo…………………………………………………………………….

5)      Umepanga kuwekeza kiasi gani cha mtaji katika biashara hii ya PDPR ……………………………..

 

Sehemu ya ziada:

1)      Una miliki chombo cha usafiri kitaje ……………………….. na kitatumika na biashara …………………

2)      Una chumba cha duka (Fremu) …………… kama huna utauzaje ………………………………………..

3)      Duka au chakula utauza wewe?…………. Kama kuna msaidizi mtaje ……………………………………. Na ana uzoefu gani ……………………………………………………………………………………………………………………..

4)      Chakula cha Kampuni gani kinanunuliwa kwa wingi katika eneo lako ……………………………….. kinauzwa shingapi ………… na unahisi kwanini kina soko kubwa ………………………………………………….

5)      Utatumia mbinu gani kukiingiza sokoni chakula cha PDPR …………………………………………………… ..........……………………………………………………………………………………………………………………………………………………

6)      Unapenda kuishauri nini Asasi ya PDPR katika mradi wa chakula cha kuku…………………… …… …………………………………………………………………………………………………………………………………………………..…........

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………….........

 

KWA MATUMIZI YA OFISI TU:

Imepokelewa na ……………………………………………….. kwa niaba ya PDPR sahihi……………………………………

Cheo ……………………. Tarehe …………………….

Maelezo ………………………………………………………………………………. ………………………… ……………… ... ……… …………………………………….………………………………………………………………………………………….…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………............

 

Zingatia:

 

Majibu Utakayo yajibu katika fomu hii yatasaidia kukufanya uweze kuendelea au laa na hatua za mbele za kujaza fomu nyingine na kisha kuingia mkataba wa kusambaza chakula cha PDPR.

 

 

 

 

PDPR_CHAKULA.docx

 

24 Januari, 2016
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (4)

raymond daniel mgeni (IRINGA) alisema:
mnafanya vizuri kusaidia wanainchi kuondokana na umasikini.Pongezi kwenu muendelee kuwafikia wanainchi wengi zaidi
25 Januari, 2016
Frank Mtundu (Mtwara Sasa.Nyumbani Njombe_Uwemba ) alisema:
Naomba Kujiunga Katika Miradi Yenu
11 Julai, 2016
Frank Mtundu (Mtwara Sasa.Nyumbani Njombe_Uwemba ) alisema:
Jambo La Tija Kubwa Kwa Jamii Ni Faida Kubwa Kwa Mazingira Kwa Uhifadhi.Mazingira Bora Ndo Uhai Wa Binadamu.Pia Ni Miradi Endelevu Kwa Watu Wa Kipato Cha Matabaka Yoyote.Nawaunga Mkona Nitakuja Kuwatembelea Maana Napenda Maendeleo Napenda Mazingira.
11 Julai, 2016
Frank Mtundu (Mtwara Sasa.Nyumbani Njombe_Uwemba ) alisema:
Njombe Sasa Ni Mkoa Bhangamoto Za Ajira Za Zidi,vijana Wengi Wanalia Na Ukosefu Wa Ajira .Tutoe Elimu Kwa Jamii Wajihusishe Na Miradi Hiyo Ya Maendeleo Ambayo Haibagui Kiuwezo Ktk Kipato
11 Julai, 2016

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.