
Based in Dar es Salaam, NVRF's mission is to promote sports participation amongst the youth in low income communities and use sport and physical activity to enhance youth development, build community capacity and provide education about HIV/AIDS.
Located in the small town of Puma in the Singida Rural district, OVCC works to support orphans and vulnerable children by conducting life skills seminars for the caregivers of vulnerable children and the community in general in order to make the community better aware of these children and their needs.

CYF is based in Tabora, Tanzania, and works to strengthen youth across the country as they promote sustainability, influence policy making, good governance, information sharing, exploring their talent, and inter-cultural exchange.

MYCN works to catalyze and facilitate youth and children so as to have the best means for them to participate and acquire their intellectual, physical, moral, cultural and economic development for their own benefits and society in general.

SWEAT works to enhance education and provision of other basic social services to Maasai pastoralists and other poor communities in Kiteto district through awareness creation to enhance community participation with functional literacy skills.

MED ni shirika lililoanzishwa mwaka 2009 kwa ushirikiano wa wadau wapenda maendeleo kwa lengo la kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika kuboresha Elimu, Demokrasia, Elimu ya Uraia, Utawala Bora kwa makundi yote ya jamii.

APCCC inawezesha maendeleo na uelewa kwenye jamii, kufahamisha jamii kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa na kuwafahamisha namna ya kujitetea endapo kuna gharika za mabadiliko ya hali ya hewa.

HUDEO inafanya kazi kukidhi mahitaji ya wana jamii wa wilaya ya Njombe. HUDEO inalenga kuboresha shughuli za wananchi kujitafutia kipato, na pia inajishughulisha na harakati mbali mbali kama mazingira, ukimwi, na kusaidia watoto.

TEYODEN imeumbwa 2001, na inafanya kazi katika vituo 21 vya vijana manispaa ya Temeke, kuwasaidia vijana kuwa na wajibu wa kubadilisha tabia na kuwa na jukumu muhimu katika shughuli za kijamii, kisiasa, na kiuchumi.

Kutoka Moshi, WOY inafanya kazi kuwawezesha vijana kusimamisha maambukizi ya mapya ya UKIMWI kwa kuwapa habari inayofaa na mafunzo ya ujuzi wa maisha.
Kuhusu Mashirika Maalum