Log in
UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA

UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA

Wilaya ya Mtwara, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

KUELIMISHA JAMII HASA VIJANA KUACHA TABIA HATARISHI KAMA VILE NGONO ZEMBE,KUKAA VIJIWENI MADAWA YA KULEVYA ILI KILA KIJANA AFANYE KAZI, USAFI WA MAZINGIRA, MIRADI MIDOGOMIDOGO.

Latest Updates
UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA added a News update.
SHIRIKA LINATARAJIA KUFANYA KIKAO CHA WADAU WA MAZINGIRATAREHE 30/05/2011 KATIKA JENGO LA OFISI KUANZIA SAA 8.00 -12.00 JIONI . – TUNAWAOMBA WOTE MHUDHURIE BILA KUKOSA – WOTE MNAKARIBISWA KUCHANGIA MAONI MBALIMBALI ILI TUWEZE KUFANIKISHA MALENGO YETU.
May 18, 2011
UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations