Fungua
UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA

UMOJA WA MAENDELEO NYERERE MTWARA

Wilaya ya Mtwara, Tanzania

 SHIRIKA LINATARAJIA KUFANYA KIKAO CHA WADAU WA MAZINGIRATAREHE 30/05/2011 KATIKA JENGO LA OFISI KUANZIA SAA 8.00 -12.00 JIONI .

TUNAWAOMBA WOTE MHUDHURIE BILA KUKOSA

WOTE MNAKARIBISWA KUCHANGIA MAONI MBALIMBALI ILI TUWEZE KUFANIKISHA MALENGO YETU.