Envaya

Kuimarisha uwezo wa jamii na kuwajengea uwezo katika shughuli zao ili kufanikisha malengo yao

Mabadiliko Mapya
Nachingwea Multsectral Initiatives imeumba ukurasa wa Jitolee.
Tunajitolea ktk secta kama afya ,elimu ,kilimo, mazingira, pamoja na masuala ya haki za kibinadamu na tunatoa huduma ktk majanja mbalimbali kama njaa, tetemeko la ardhi na magonjwa ya milipiko
22 Septemba, 2016
Nachingwea Multsectral Initiatives imeumba ukurasa wa Historia.
Nachingwea Multsectral initiatives NGO ilianzishwa mwaka 2016/19/january – Nalimesajiliwa kwa sheria ya NGO ya mwaka 2002.made under section12ofAct No. 24 of 2002 – Mamba ya usajili wa Shirika ni 00NGO/08379
22 Septemba, 2016
Nachingwea Multsectral Initiatives imeumba ukurasa wa Timu.
Mwenyekiti-Thomas. K. Chitanda – Katibu-Ally. S. Mmoto – Mtunza hazina - Rosina Nguruwe – Afisa miradi-Idd Pathan – WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI
21 Septemba, 2016
Nachingwea Multsectral Initiatives imeumba ukurasa wa Mkuu.
Kuimarisha uwezo wa jamii na kuwajengea uwezo katika shughuli zao ili kufanikisha malengo yao
21 Septemba, 2016
Sekta
Sehemu
Nachingwea, Lindi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu