Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kuwa na mahusiano mazuri kati ya wanawake na wanaume wilayani newala. wanawake kutoendelea kukandamizwa, talaka holela na ndoa za mitala kutokana na mila na desturi zilizopo na mwamko mdogo wa jamii. Sisi wanawake wa newala tumeamua kuuanzisha chombo (newora) kitakachojishughulisha kwa karibu na wadau mbalimbali wa maendeleo wilaya kutatua matatizo ya jamii yanayosababisha wanawake kukandamizwa na kunyanyasika wilayani newala.
Pia kusirikiana na seriikari, wadau mbalimbali wa elimu na wahisani na mashirika yasiyo kiserikali kuhamasisha kutetea na kuhakikisha haki za wanawake zinatambuliwa na kuthaminiwa wilayani
Latest Updates
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION added Women Rights Action Group to its list of Partner Organizations.
June 14, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION has a new discussion about wanawake kumiliki ardhi.
Mwajuma K. Nambole: kwaville wanawake ni wazalishaji wakuu wanaouwezo wa kumiliki ardhi lakinii kutokana na mila desturi inayotuzunguka au mfumo dume inaomkandamiza mwamke kutomiliki ardhi, je kutokana na kuwepo na uwezo na uelewa unaofanana kati ya mwanamke na mwanamme kunasababu yeyote ya kumnyima mwanamke kumiliki... Read more
June 14, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION added TGNP to its list of Partner Organizations.
TGNP tunafanyanao kazi zinazofanana kuhammasisha na kuelimisha jamii juu ya elimu ya mtoto wakike ushirikishwaji wa wanawake walio pembezoni
June 14, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION created a History page.
Newora ni asasi ya kutetea haki za wanawake wilayani Newala . Ilianzishwa mwaka 2006 na kusajiliwa rasmi tarehe 26/3/2007 na kupata hati ya usajili No. So katika wizara ya mambo ya ndani.
June 14, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION joined Envaya.
June 14, 2011
Sectors
Location
NEWALA, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations