Kuwa na mahusiano mazuri kati ya wanawake na wanaume wilayani newala. wanawake kutoendelea kukandamizwa, talaka holela na ndoa za mitala kutokana na mila na desturi zilizopo na mwamko mdogo wa jamii. Sisi wanawake wa newala tumeamua kuuanzisha chombo (newora) kitakachojishughulisha kwa karibu na wadau mbalimbali wa maendeleo wilaya kutatua matatizo ya jamii yanayosababisha wanawake kukandamizwa na kunyanyasika wilayani newala.
Pia kusirikiana na seriikari, wadau mbalimbali wa elimu na wahisani na mashirika yasiyo kiserikali kuhamasisha kutetea na kuhakikisha haki za wanawake zinatambuliwa na kuthaminiwa wilayani
Mabadiliko Mapya
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION imeongeza Women Rights Action Group kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
14 Juni, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION ina mada mpya kuhusu wanawake kumiliki ardhi.
Mwajuma K. Nambole: kwaville wanawake ni wazalishaji wakuu wanaouwezo wa kumiliki ardhi lakinii kutokana na mila desturi inayotuzunguka au mfumo dume inaomkandamiza mwamke kutomiliki ardhi, je kutokana na kuwepo na uwezo na uelewa unaofanana kati ya mwanamke na mwanamme kunasababu yeyote ya kumnyima mwanamke kumiliki... Soma zaidi
14 Juni, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION imeongeza TGNP kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
TGNP tunafanyanao kazi zinazofanana kuhammasisha na kuelimisha jamii juu ya elimu ya mtoto wakike ushirikishwaji wa wanawake walio pembezoni
14 Juni, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION imeumba ukurasa wa Historia.
Newora ni asasi ya kutetea haki za wanawake wilayani Newala . Ilianzishwa mwaka 2006 na kusajiliwa rasmi tarehe 26/3/2007 na kupata hati ya usajili No. So katika wizara ya mambo ya ndani.
14 Juni, 2011
NEWALA WOMEN RIGHT ASSOCIATION imejiunga na Envaya.
14 Juni, 2011
Sekta
Sehemu
NEWALA, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu