Log in
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK

NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK

MANGAKA NANYUMBU, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1.Kusaidia taasisi wanachma kupata na kufikishiwa sera na taarifa kutoka taasisi zisizo za kiserikali(NGOs) za Kitaifa na Kimataifa.

2.Kuwezesha ubadilishanaji wa habari,taarifa,ujuzi,uzoefu na masuala yanayozihusu taasisi hizo.

3.Kuwa kiungo kati ya taasisi Wanachama na viongozi wa Wilaya ,Mkoa,Taifa na Kimataifa.

4.Kuziimarisha na kuzijengea uwezo Asasi Wanachama kwa maendeleo ya wananchi wa Nanyumbu.

NI MWAMVULI WA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI WILAYA YA NANYUMBU.

Latest Updates
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK added Lilikokona Environmental and Farming Enterprises to its list of Partner Organizations.
LEFE ni mwanachama wa NANGONET katika kuhifadhi mazingira na kusaidia wakulima wadogwadogo.
May 17, 2011
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK added UHIFADHI WA MAZINGIRA KAZAMOYO to its list of Partner Organizations.
UMIKA ni mwanachama wa NANGONET katika kuhifadhi mazingira.
May 17, 2011
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK added WALIO KATIKA MAPAMBANO NA AIDS TANZANIA-NANYUMBU MTWARA TANZANIA to its list of Partner Organizations.
WAMATA ni mwanachama wa NANGONET. Tunashirikiana katika shughuli za jamii.
May 17, 2011
NANYUMBU NON-GOVERNMENTAL ORGANISATIONS NETWORK joined Envaya.
May 17, 2011
Sectors
Location
MANGAKA NANYUMBU, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations