Log in
Mwanza Youth and Children Network-MYCN

Mwanza Youth and Children Network-MYCN

Ghana Ilemela, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

kwa nini vijana wengi wa tanzania wana walauum wazazi wa kiumee?

andrew exavery (kahama shinyanga tanzania)
February 13, 2014 at 8:38 PM EAT

je umewahi kujiuliza ni sababu zipi zinawafanya wazazi wengi wa kiume walaume na watoto wao?

Enyorata Education, Youth participation & Tourism Trust (EEYUPAT)
April 25, 2014 at 7:01 AM EAT

mi nafikiri hawajapata ushirikiano mzuri na wazazi wao kwahiyo watoto hao hawajaona msaada wa kutosha kutoka kwa wazazi hao wa kiume

NELSON YOHANA (TUNDURU)
October 17, 2014 at 12:45 PM EAT

Nini kifanyike kuhakikisha watoto na vijana wanapata malezi bora katika familia?


Add New Message

Invite people to participate