Envaya
Mashirika ya Ubia
Mabadiliko Mapya
1. Ndugu, George Benedict Mng`ong`o ------- Mkurugenzi Mtendaji wa TAYODEF – 2.Ndugu, Barnabasi Ndunguru --------- Katibu mkuu wa TAYODEF – 3.Ndugu, Thom Malenga ----------- Mtunza Hazina wa TAYODEF4 – 4.Ndugu, Michael... Soma zaidi
12 Oktoba, 2011
Tanzania youth development Foundation, Tuna fanya shuguli za Vijana Waliopo Shuleni na wale ambao Hawapo shuleni katika maeneo ya Elimu ya Afya ya uzazi kwa vijana ,kutunza Mazingira yaliyo Haribiwa kwa makusudi, kuwapa vijana Uelewa juu ya Haki za Binadamuna kutoa uelewana mafunzo juu ya jinsia kwa maisha ya jamii... Soma zaidi
12 Oktoba, 2011
SHIRIKA LA TAYODEF LINA KARIBISHA WADAU WOTE WANAO FANYA SHUGHULI ZA VIJANA
4 Oktoba, 2011
TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT FOUNDATION NI SHIRIKA LISILO KUWA LA KISERIKALI LILILO ANZISHWA MWAKA 1999 NA KUPATA USAJILI SO. NO. 10747. OFISI ZA SHIRIKA ZIPO MTAA WA SOKO STREET JENGO LA AKIBA HOUSE GHOROFA YA PILI CHUMBA NAMBA 202
3 Oktoba, 2011