Fungua
msangani development organization

msangani development organization

kibaha, Tanzania

1. kutoa elimu ya ujasiriamali kwa jamii

2. elimu ya utawala bora

3. kutoa elimu ya afya na mazingira

4.elimu ya utetezi kwa jamii n.k

Mabadiliko Mapya
msangani development organization imeongeza Habari.
Asasi yetu inatarajia kufanya Kongamano kubwa na Wanakijiji wa Msangani hv karibuni lengo kutoa elimu ya umuhimu wa kutunza mazingira.
22 Septemba, 2012
msangani development organization imeongeza Habari.
nashukuru kwa kututembele
21 Septemba, 2012
msangani development organization imeongeza Habari.
tunahitaji ndugu wa kweli ktk kushirikiana,kuelekezana changamoto mbalimbali za kuinua jamii zetu kupitia mashirika yetu binafsi. – karibuni sana MSANGANI DEVELOPMENT ORGANIZATION(Msadeo)Kibaha Mkoani Pwani Kata ya Msangani. – UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU.
4 Septemba, 2012
msangani development organization imeongeza Habari 2.
asante envaya kwa kututembele ofisini hapa msangani
3 Septemba, 2012
msangani development organization imeongeza Habari.
http/envaya/msadeo/news
16 Desemba, 2011
msangani development organization imeongeza Envaya kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
6 Novemba, 2011
Sekta
Sehemu