Log in
Mrumate Disabled Centre

Mrumate Disabled Centre

Arusha, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Mrumate Disabled Centre imeweza kujiunga na Asasi nyingine zilizoko hapa Arusha na pia Kilimanjaro, Dar er Salaam. Kwa Arusha tumejiunga na ANGONET

Kilimanjaro: WODEF [TZ] Dar es Salaam : TEN/MET

January 11, 2011
Next »

Comments (2)

[comment deleted]
Felix Chuwa said:
Mrumate Disabled Centre ina mpango wa kushirikiana Chama cha Wagonjwa wa Sukari Tanzania - Tanzania Diabetes Association [ TDA] Chama cha TDA kinashirikiana pia na Handicap International kuendesha program ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa sukari kwa kasi katika wilaya za Arusha, Arumeru na Monduli, kwa hiyo Asasi yetu itashiriki katika uelimishaji ndani ya jamii inayotuzunguka.
January 19, 2011
Felix Chuwa - Coordinator said:
MRUMATE DISABLED CENTRE: Imejiunga pia na kikundi cha walemavu kijulikanacho kwa jina la DDG yaani Disabled Development Group: Makao makuu ya DDG yapo Mtaa wa Kaloleni Jijini Arusha.
January 25, 2011

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.