Envaya
/mrumate/post/6639
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
MRUMATE DISABLED CENTRE: Imejiunga pia na kikundi cha walemavu kijulikanacho kwa jina la DDG yaani Disabled Development Group: Makao makuu ya DDG yapo Mtaa wa Kaloleni Jijini Arusha.
(Not translated)
Hindura
Mrumate Disabled Centre ina mpango wa kushirikiana Chama cha Wagonjwa wa Sukari Tanzania - Tanzania Diabetes Association [ TDA] Chama cha TDA kinashirikiana pia na Handicap International kuendesha program ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa sukari kwa kasi katika wilaya za Arusha, Arumeru na Monduli, kwa hiyo Asasi yetu itashiriki katika uelimishaji ndani ya jamii inayotuzunguka.
(Not translated)
Hindura
Mrumate Disabled Centre imeweza kujiunga na Asasi nyingine zilizoko hapa Arusha na pia Kilimanjaro, Dar er Salaam. Kwa Arusha tumejiunga na ANGONET – Kilimanjaro: WODEF [TZ] Dar es Salaam : TEN/MET
(Not translated)
Hindura