Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

large.jpg

Mashindano ya ngoma aina ya ING'OMA yaliyofanyika kitongoji cha Kingani, Uyole jijini Mbeya Septemba 28 2013. Mzee Ambulungenie, amekuwa maarufu katika kuendeleza ngoma hiyo yenye asili ya WANYAKYUSA. Mashindano ya aina hiyo ni njia mojawapo muhimu katika kuendeleza udugu, urafiki, mashirikiano katika misingi madhubuti ya ujirani mwema na upendo.

11 Ukwakira, 2013
Ahakurikira »

Ibitekerezo (2)

Massapa (Mwanza) bavuzeko
Mambo mazuri sana haya kudumisha udugu na ujirani na zaidi kutunza mila na desturi pamoja na utamaduni wetu ambao unapotea kwa kasi kutokana na mwingiliano wa mambo ya kigeni. Ni wajibu wetu kama jamii kulinda heshima na historia yetu. Asante sana uliyerusha hizi picha na habari. Tafadhali ongezea matukio ya hivi karibuni pia
16 Gicurasi, 2015
Mpalano CDO bavuzeko
Shukrani kwa maelezo mazuri kaka Massapa. Tusaidiane kuyaeneza na kuyaendeleza mambo haya. Karibu sana kwenye jukwaa hili
18 Gicurasi, 2015

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.