Baadhi ya Wanachama wa Kikundi cha Utunzaji wa Mazingira ya Ziwa Ikapu, walioamua kuacha kufanya shughuli hatari kwa mazingira ya ufyatuaji wa tofali na badala yake wameanza kufanya shughuli rafiki kwa mazingira ikiwemo kufuga nyuki na kufuga kuku. Mpalano CDO ni mlezi wa kikundi hicho kwa kukipatia ushauri na mafunzo.
July 14, 2018