Envaya

Mpalano  strives to promote cultural activities of Tanzanian Communities for posterity’s heritage and as means to catalyzing sustainable community development.

Latest Updates
Mpalano Culture in Development (MPALANO CDO) added 5 News updates.
Wana vikundi kutoka vijiji vya Mbambo, Kambasegela na Ilamba wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Maendeleo ya Jamii Agnes Elikunda, na Mkuu wa Idara ya Mifugo Dr. Sangwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo, baada ya kutoa mafunzo ya uhamasishaji kuhusu ufugaji wa kuku, sungura na nyuki! Kulia... Read more
July 14, 2018
Mpalano Culture in Development (MPALANO CDO) added a News update.
Wajumbe wa vikundi vya Uzalishaji mali katika Kijiji cha Mbambo, Wakionesha vitendea kaz ili kuanza kazi rasmi baada ya mafunzo yaliyotolewa na Mpalano CDO kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya Busokelo mkoani Mbeya. Read more
April 26, 2017
Mpalano Culture in Development (MPALANO CDO) added a News update.
Members of Mpalano CDO Board during board meeting in Dar es Salaam recently.
April 23, 2017
Mpalano Culture in Development (MPALANO CDO) added 2 News updates.
Mafunzo ya kuimarisha uwezo wa wanawake viongozi Wilaya ya Mbozi kaza za Ichenjezia, Nyambili, Iyula, Isanza, Ipunga, Ihanda, Mlowo, Ruanda na Isandula. Kwa Ruzuku kutoka women Fund Tanzania. Read more
April 22, 2017
Mpalano Culture in Development (MPALANO CDO) updated its Team page.
Andulile RaphaelChairperson. – Senior Statistician who has served in different roles in public service in Ministry Departments, Independent state Departments and Agencies. He is a talented motivational public speaker and organiser. – Adam Gwankaja ... Read more
April 22, 2017
Sectors
Location
Igurusi, Mbeya, Tanzania
See nearby organizations