Fungua
Mzunguko  wa Maisha Chita

Mzunguko wa Maisha Chita

Morogoro, Tanzania

Kwa kushirikiana na ASASI nyingine kuondoa umaskini, unyanyasaji,uonevu na hali zote mbaya  kwa jamiii kwa kuboresha njia, kushiriki mafunzo na kuchangia ufahamu. Pia kushirikisha  masuala ya sera na utetezi, uhifadhi wa mazingira, jinsia na UKIMWI

Mabadiliko Mapya
Mzunguko wa Maisha Chita imejiunga na Envaya.
24 Agosti, 2012
Sekta
Sehemu