Log in
KITAAvation

KITAAvation

Morogoro, Tanzania

large.jpg

Hiyo Ni mashine ya kutengenezea chaki

large.jpg

Hiyo ni mashine ya kutengenezea chaki ambayo imebuniwa na vijana wa KITAAvation. Hiyo ni toleo la kwanza ambayo pia tarehe 28/02/2017 chaki zimefanyiwa majaribio katika Shule za msingi za Mtawala, Mafisa A, Mafisa B na Msamvu A ambazo zote zipo chini ya manispaa ya Morogoro.

medium.jpg

Hii ni moja ya shere za mahafali ya Wanachama wa ICAN CLUB ya Dumila secondary ambayo pia ni partner wa KITAAvation. Founder wa KITAAvation, Abdul Sungita alipata nafasi ya kualikwa kama mgeni maalum na kupata nafasi ya kutoa neno.