Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Hiyo ni mashine ya kutengenezea chaki ambayo imebuniwa na vijana wa KITAAvation. Hiyo ni toleo la kwanza ambayo pia tarehe 28/02/2017 chaki zimefanyiwa majaribio katika Shule za msingi za Mtawala, Mafisa A, Mafisa B na Msamvu A ambazo zote zipo chini ya manispaa ya Morogoro.