Mkurugenzi afisi ya makamo wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar Issa Ibrahim Mahmoud akifungua Mkutano Mkuuwa Vikundi vya wakulima Zanzibar tarehe 30/07/2011
Makamu Mwenyekiti wa MVIWATA Zanzibar Bw. Makame Ali Makame, akizungumza kwenye mkutano mkuu wa MVIWATA Zanzibar 2009
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bw. Khalid Mohamed akifungua mkutano Mkuu wa MVIWATA Zanzibar 2009
Aliyekuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar Bw. Shams Vuai Nahodha, akishiriki katika uzinduzi mavuno ya kunde katika shamba la kikundi cha wakulima 2010
Viongozi wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima (MVIWATA)Zanzibar wakiwa na Afisa Kilimo, walipotembelea shamba la mpunga la kikundi
Mwanakikundi wa Jumuiya akiwa kwenye bango linaloelekeza ziliko ofisi za Jumuiya