Parts of this page are in Swahili. Edit translations
- 1998: UHAMASISHAJI JAMII ZA UROA, MARUMBI, PONGWE PWANI ILI KUIMARISHA USAFI WA MAZINGIRA NA MATUMIZI YA VYOO HIVYO KUJIKINGA NA MILIPUKO YA MARADHI YA KIPINDUPINDU NA KUHARISHA
- 1999/2000: UHAMASISHAJI JAMII ILI KUANZISHA VIKUNDI VYA KUPANDA MITI YA MIVINJE NA MIDIMU
- 2001/2002: KUELIMISHA JAMII ZA WANAKIJIJI WA UROA,PONGWE PWANI NA MARUMBI KUHUSIANA NA MIKAKATI YA MATUMIZI BORA YA BAHARI, MISITU
- 2003/2004: KUELIMISHA WANAJAMII NA WAJASIRIAMALI WADOGO WADOGO WA MAMBO YA UTALII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA HUSUSAN FUKWE ZA BAHARI
- 2005/2006: UJENZI, UKARABATI NA KUHAMASISHA MATUMIZI SAHIHI YA VYOO NA MAENEO YA KUHIFADHIA TAKA KWA WANAJAMII WA UROA NA MAENEO JIRANI