Utafiti wa jamii kuhusu hali ya mafuriko jijini Dar-es-salaam
kilungule [kimara]
miundo mbinu.
kupotea kwa vyombo vya ndani,mfano tv,sofa,na vyombo vya kupikia
kurudi nyuma kimaisha,kuanza maisha upya.
kuharibika kwa mfumo mzima wa maji.
Kabla ya mafuriko: saa 1 | Sasa: saa 2 na zaidi,hii ni kutokana na kuvunjika kwa madaraja |
(Hakuna jibu)