Mashirika ya Ubia
FAIDIKA WOTE PAMOJA
faidika wote pamoja ni shilika ambalo tunaubia wa kushilikiana kwa kupeana taarifa za watoto waishio katika mazingira hatarishi.
Mabadiliko Mapya
FAIDIKA WOTE PAMOJA imeongeza Habari.
SHIRIKA LA FAWOPA tunatarajia kuwapatia watoto waishio katika mazingira magumu mahitaji ya msingi ya shuleni. tunakusudia kuwapatia watoto wawili baiskeli kwa ajili ya kuendea shuleni na wengine tunakusudia kuwapatia daftari, peni pamoja na sare za shule. misaada hii inatoka kwa wanachama wa FAWOPA wenyewe kwa... Soma zaidi
18 Mei, 2011