Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

SHIRIKA LA FAWOPA tunatarajia kuwapatia watoto waishio katika mazingira magumu mahitaji ya msingi ya shuleni.  tunakusudia kuwapatia watoto wawili baiskeli kwa ajili ya kuendea shuleni na wengine tunakusudia kuwapatia daftari, peni pamoja na sare za shule.  misaada hii inatoka kwa wanachama wa FAWOPA wenyewe kwa kuchangishana na sio kwamba tunapata kutoka kwa wafadhili hapana.  FAWOPA hatuna wafadhili bali tunatumia nguvu zetu pamoja na juhudi na maarifa ya wanakamati kwa nia moja tu ya kusaidia watoto ambao ni Taifa la kesho.

18 Mei, 2011

Maoni (4)

Baltazar B. Komba-mtumwa wa watu alisema:
Ndugu zetu wote mnao tupenda na kufuatilia tovuti yetu tunapenda kuwaombeni radhi kuwa bado tunafanya maandalizi kabambe ya kuingiza habari,taarifa, na picha za matukio ya shuguli zetu katika najuwa kuwa mnaboreka lakini naomaba tuvumilieni hivi suni mambo yatakuwa murua kabisa haya ahsantenisa sana
17 Agosti, 2011
Mlangira,Bornface (DSM) alisema:
MTWARA LIFE IS SO HIGH PARTICULARLY IN COST OF LIVING WHICH TEND TO AFFECT THE ACADEMIC PERFORMANCE IN EVERY YEAR IN ALL NECTA EXAMS.NOW YOU (FAWOPA)AND OTHER NGOs WHAT IS YOUR EFFORT ON THAT DISASTER.
16 Desemba, 2011
Mlangira,Bornface (SFASM-MTWARA TOWN) alisema:
Kupitia mtandao huu asasi yenu inafaidikaje katika kutimiza malengo yenu
16 Desemba, 2011
bornface Mlangira (rwanda) alisema:
Nita kueleza kuhusu hilo swali lako baada ya kuongea na baadhi ya wadu wa elimu na wakakzi wa Mtwara kwa ujumla.na matumizi ya wavut yetu yatakuwa imara hivi karibu kwa kuwana taarifa na mapicha.
19 Desemba, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.