Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Partner Organizations
FAIDIKA WOTE PAMOJA
faidika wote pamoja ni shilika ambalo tunaubia wa kushilikiana kwa kupeana taarifa za watoto waishio katika mazingira hatarishi.
Latest Updates
FAIDIKA WOTE PAMOJA added a News update.
SHIRIKA LA FAWOPA tunatarajia kuwapatia watoto waishio katika mazingira magumu mahitaji ya msingi ya shuleni. tunakusudia kuwapatia watoto wawili baiskeli kwa ajili ya kuendea shuleni na wengine tunakusudia kuwapatia daftari, peni pamoja na sare za shule. misaada hii inatoka kwa wanachama wa FAWOPA wenyewe kwa... Read more
May 18, 2011