God bless them and live longer for the grace of God
1 Februari, 2017
Kwilo Malongo (Bukumbi ) alisema:
Manager habari ya majukumu ningependa nikushauri kitu unapopost issues whatever in social media please and please consider all levels of education coz Kuna wengine hawafahamu kingereza it's better ukatranslate ili nao waweza changia ni hayo tyu mungu akubariki
1 Februari, 2017
shija clement kinyata alisema:
Asante kwa ushauli wako nitafanya ushauli wako mzuri sana
Maoni (3)