Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Kutoa elimu juu ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na kuwajengea uwezo wahudumu wa Wagojwa majumbani(HBC) na kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Latest Updates

Health and Development for People living With Hiv/Aids(HEDEA) added 2 News updates.
ASASI YA HEDEA,INAMTAKIA BONDIA PASCAL NDOMBA WA KYELA USHINDI KATIKA PAMBANO LAKE USIKU HUU HUKO GHANA V/S BRAIMAH KAMOKO MUNGU AKUTANGULIE UJE NA USHINDI Read more
December 1, 2012

Health and Development for People living With Hiv/Aids(HEDEA) added 4 News updates.
December 6, 2011
Health and Development for People living With Hiv/Aids(HEDEA) updated its Team page.
Julius Mwalubalile-Mwenyekiti – Godfrey Gwatengile-Mhasibu – Sekiete Saddy-Mratibu – Judith Kilema-Mhazina – Mr.Uswege Mwaikambo-Katibu – ...
December 6, 2011

Health and Development for People living With Hiv/Aids(HEDEA) added 2 News updates.
Mkurugenzi wa Hedea,akimweleza jambo Mgeni –
December 3, 2011
Health and Development for People living With Hiv/Aids(HEDEA) created a History page.
UTANGULIZI: – HEALTH AND DEVELOPMENT FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS(HEDEA) . NI ASASI YA KIRAIA (NGO) ILIYO SAJILIWA MWAKA 2007. KWA JINA TAJWA HAPO JUU MAKAO YAKE MAKUU NI MJINI KYELA- MBEYA. – LENGO LA ASASI: – (HEDEA) NI ASASI... Read more
November 28, 2011

Health and Development for People living With Hiv/Aids(HEDEA) added a News update.
Picha hapo juu,kushoto ni Julius Mwalubalile(Mwenyekiti) na kulia ni Judith Kilema (Mhazina) wakiwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya wakimfariji Mtoto anae lelewa na asasi ya HEDEA baada ya kulazwa Hospitalini hapo. Read more
November 28, 2011
Sectors
Location
Kyela, Mbeya, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations